Naomba kujuzwa kuhusu king'amuzi cha Azam TV wakuu

moudytz

Senior Member
Sep 10, 2017
150
180
Wakuu naomben ushauri nahitaj kununua king'amuzi cha Azam TV kwa wale wenye uzoefu navyo
Naomba kujua list ya local channel.

Uangavu wao unazidi startimes ya dish?
Hdmi cable ni bure wakati wa kununua king'amuzi au una uziwa

Mwisho kabisa mimi ni mtumiaji wa sola sijafikiwa na umeme bado naomba kujua nyuma ya decoder/ receiver ni watts ngapi?

Nilikuwa natumia dstv kina tumia moto mwingi sana

Shukuran 👏👏
 
Startimes ni HD zaidi kwa upande wa dishi..huku Azam labda utumie huo waya wa HDMI angalau kidogo..lakini kwa upande wa channel miyeyusho tu..kinachotubakiza kule ni huu mpira wa kibongo..
 
Startimes ni HD zaidi kwa upande wa dishi..huku Azam labda utumie huo waya wa HDMI angalau kidogo..lakini kwa upande wa channel miyeyusho tu..kinachotubakiza kule ni huu mpira wa kibongo..
aisee sawa mkuu kwahy bora startimes tena mkuu
 
Azam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom