Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

Nilicho kimaanisha tafuta watu waliyo karibu nawe,wakusaidie...!Hii ishu ya mikopo ipo nchi nzima...,kama ukiendelea kukaza shingo na ubishi wenu wa jf,majibu utayapata na wakati huo utabaki ukilalama mwenyewe...!
asante mkuuu
Mbona kipengere cha nida unachokisema sikioni hapo kwenye mfumo
mkuu hiyo hapo chini
Screenshot_20210714-215839.png
 
mkuu kuelewa naelewa kwamba guarentor ni mdhamini ila nikiifungua nakuta sehemu mbili ambazo ni academic staff na. non academic staff.. nashindawa nijaze nini.
Inategemea sasa huyo mdhamini wako ni academic staff au oengine ni mzazi tu au ndugu, na kama inahitajika ujaze kote basi unaweza ukamueka mwalimu wako wa shule ulotoka haswa mkuu, na non academic ukamueka mzazi au ndugu yako...
Na kuhusu NIDA hapo we weka namba ya nida tu sehemu ya CHETI CHENYEWE PAACHE WAZI TU USIWEKE KITU KAMA HUNA.
 
asante mkuu..
asante sana
 
Back
Top Bottom