Naomba kujuzwa kuhusu hili la kuhama ukiwa na mkopo mpya

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Habari wakuu?

Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa DED kwenda kwenye shirika la serikali je ule mkopo hauwezi ukaathiri uhamisho wake kwenda kwa mwajiri mpya?
 
As long as Bank Account hajabadilisha na mshahara unapitia humo, hakuna shida yoyote.
 
Habari wakuu?

Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa Ded kwenda kwenye shirika la serikali je ule mkopo hauwezi ukaathiri uhamisho wake kwenda kwa mwajiri mpya?

Mkopo ni kama Jini, linakufuata popote
 
Back
Top Bottom