Naomba kujuzwa kuhusu hawa kuku wa Amadol

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Habari wanajamvi,
Nimepotea sana ila tupo pamoja.

Naomba mnijuze kuhusu wale kuku wanonoo wakubwaa nawaona mtaani,anaweza kuwa na kg 6 au 7,kubwaa,nikauliza wakasema wanaitwa Amadol.(Hili jina sijui ndio lenyewe?au nimekosea )

1.Nijuzeni ni kuku wa breed gani
2.Nawezaje kuwafuga hawa naona wanasoko kweli kweli
3.Naweza wapata wapi hawa kuku,na wanalimwaje hawa!
 
Hao watakuwa parent stock. Ni kuku wazazi wa broiler. Wakizeeka ndo wanauzwa mitaani. Kwa mfugaji kuku wa kawaida breed hio haimfai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom