Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Daihatsu MiRA

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
728
600
Nimeona mahali haka kagari kanaitwa daihatsu mira. Kako na Cc 660 ila kama body shape kali sana kama porte flank hivi au Toyota aqua. Naomba kujua kuusu hizi gari maana nadhani ni same like terios kid. Sasa je spare zake na mapungufu yake ni yapi.

NB: Tuonataka kununua gari karibuni tunahaha sana maana hatujui kitu tusije kuvaba.

1615739400174.png

Daihatsu MiRA
 
Huko Japan I haya makampuni yanauziana his a hivyo magari yote ni kama sawa ndio maana utakuta zaidi 60% ya kampuni ya Mitsubishi inamilikiwa na Nissan hivyo unaacha nunua Mitsubishi pajero mini unaenda nunua Nissan kix ni gari ileile daihatsu bigo ndio Toyota rush, harrier yenye nembo ya Lexus na ile ya Toyota inatofauti gani?

Daihatsu Mira ni miongoni mwa kei car 10 best kwa kutumia mafuta kidogo ila inahitaji Barbara nzuri maana ipo chini chini. Kama umevutiwa na hizo 660cc na unahitaji kwa matumizi ya rough road ni bora pajero mini 660cc ingawa pajero mini za zamani zinatumia mafuta mengi kwaajili ya carburetor ila unaingia popote.

IMG-20210226-WA0041.jpg
IMG-20210226-WA0033.jpg
 
Japani kuna makampuni manne tuu yanayotengeneza magari ya maana:

1. Toyota
2. Suzuki
3. Honda
4. Subaru
Kununua gari nje ya hizi kampuni nne ni kujitafutia presha pamoja na kisukari cha ujanani!
Siio kweli mazda unaipeleka wapi??

sent from HUAWEI
 
Sio kweli hapo umedanganya angali tred ya mwaka jana kwenye mtandao moja ya brand iliyofans vizuri sokoni ni mazda usiichukulie poa kabisa

sent from HUAWEI
Sasa unataka kuweka Mazda kwenye kundi moja na vyuma kama hivi? Hii siyo kudhalilisha vyuma?
5680.jpg
 
Daihatsu MiRa ni gari ambazo spare parts zake ni ngumu kupata. Hazina wateja sana kwa bongo.
 
DAHTSUN MIRA

Wakuu habari za muda , leo ni siku ya kuelezea gari ndogo ambazo zinatufaa watu wa kipato cha chini gari hizi ni nzuri sana kwa mtu anayeanza kumiliki gari hawez kujutia kuuitunza matumizi hata mafuta gari hii inakuja na umbo la hatback , milango yake ikiwa ni minne , na inakuja na uwezo wa kubeba watu 5 ,JAPO gari hii imebatizwa majina mengi kam market strategies ya kupata wateja , jina jingine inajulikana kama MISTUBISHI MIRA

Gari hii tegemwa sana kukutana na


Extras: Electric Mirrors

Safety Features: 3 Point ELR Seatbelts, ABS, Hill Assist, SRS Airbags

Exterior Features: Alloy Rims(optional), Fog Lights(optional)

Interior Features: CD Player, Keyless engine start


MAELEZO

DAHTSUN Mira ni gari ndogo kongwe ambayo imeanza kutengenezwa Tangu mwaka 1978 hadi leo , uzalishaji wa gari hili ulisimama mwaka 2003 na kurejea mwaka 2012. Gari hii ilikuja kuziba pengo la Mitsubishi Colt ambayo uzalishaji wake ulikoma mwaka 2013 na tokeà hapo gari hii ikawa gari ambayo inatumia mafuta kwa kiasi kidogo kutokana na maboresho hasa upande wa fuel na hivyo kupendwa sana na watu wa tabaka la chini nchini japani na nje ya japani kwenye soko gari hii ilianza kushindana na Nissan March, Suzuki Alto na Mistubishi mirage.

Upande wa injini

2013 DAHTSUN Mira inakuja na injini yenye piston 3-cylinder

1000cc MIVEC engine

Upande wa transmition katika gari hii inakuja na

INVECS-III CVT transmission hii ni moja kati ya transmition bora kabisa gari hii inakuja na chaguo moja la 2WD, hivyo kufanya ifae sana kwa kuzugia mjini.

Upande wa grade inakuja na

DAHTSUN Mira Grades

DAHTUSUN MiraE – Toleo hili ni base grade linakuja na ABS, Driver/Front Passenger SRS Airbags, 3-Point ELR seatbelts on all seats, UV/IR solar glass in windshield na keyless entry system.

DAHTUSUN Mira M – Toleo hili ni intermediate grade linakuja na nyongeza ya adds Auto Stop & Go (AS&G), Hill Assist, regenerative braking, ground effects, UV/IR reducing glass in front door windows, UV reducing privacy glass and electric folding door mirrors.

DATHSUN Mira M – Toleo hili ni la hali ya juu highest grade linakuja na silver ornamentation in the interior, keyless operation system ikiwa na remote control engine button, immobilizer na auto light control.

DAHTSUN Mira Exterior

DAHTSUN Mira ni gari dogo na ni fupi , gari hii imeundwa mahususi kwa ajili ya kuzungukia mjini na hivyo kukupa uwezo wa kupenya panapokuwa na foleni . Gari hii inakuja na rangi nzuri ambazo ni lemonade yellow, pop green na purple cassis, na hivyo kufanya gari hii iwavutie zaidi wadada na wamama kuitumia.

Hebu tuangalie upande wa mafuta vipi kwa gari hili.

DAHTSUN Mira 1.0L non ASG Fuel inatumia km 23.2 Kwa lita 1.

DAHTSUN Mira 1.0L with ASG Fuel inatumia km : 27.2 Kwa lita 1.

DAHTSUN Mira Acceleration.

DAHTSUN Mira accelerates inatoka 0-100 km/h kwa 15.2 sec.

Kwa upande wa injini kuchanganya panahitaji sana uvumilivu pasipo uvumilivu huwezi kabisa .....ila ikishachanganya hadi unapenda ....JAPO SIO SANA

TANK LAKE NI LITA 35 ,TU linajaa hadi raha sana.

GROUND CLEARENCE

gari hii inakuja na uvungu ambao ni 6.3 inch sawa na 160 mm yaani hapo wamenifurahisha mno kwa umbo la gari hii kuja na uvungu wa namna hii naikubali sana.

DAHTSUN Mira Stability and Handling.

The DAHTSUN Mira has a turning radius of 4.4 meters which is among the best in its class making it one of the most maneuverable small cars around. The open front-end design provides excellent visibility and makes it easier for the driver to maneuver the car in tight urban spaces.

Upande wa marks kwa gari ndogo za piston 3 hii gari naikubali nankuipa alama 89 passo piston 3 naipa 76 alama hizi nimepima kwa kuangalia vitu vya kiuhandisi wa magari zaidi.

RELIABILITY

Upande wa gari hii inakuja na injin mbili zenye cc sawa kuna injini moja inaonyesha kuzingua kidogo lakini matatizo yake inapozingua yanarekebishika ...matatizo hayo ni

Engine problems – Failure to start, vibrations, smoking

Transmission Problems

Matatizo hayo yote yanarekebishika.

Kwa nini nikushawishi ununue gari hili

Economical

Affordable

Maneuverablehasa katika kuendesha ipo soft sana

Nisichopenda katika gari hii.


Mwendo wake bwana wa kobe taratibu sana wale wazee wa kuchachua hapa inahitaji uvumilivu


BEI YAKE NI MILION 7.9

Kwa walengaji ni milion 3 hadi 3.8 isizid hapo

Conclusion

The DAHTSUN Mira is an excellent compact car that is ideal for urban commuting and local errands. It can be used for occasional long distance travel but the 1.0 Litre engine is woefully shorthanded for this particular task. We love the its fuel efficiency and its one of the few cars that makes you forget the ever rising fuel costs. It’s recommended for people that are looking for a practical and economical car for urban commuting.

Naomba kuwasilisha wajuzi karibuni muongezee.

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom