Naomba kujuzwa kuhusu faida na umuhimu wa daraja jipya lililozinduliwa huko Mwanza (Busisi)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,611
20,936
Limbukeni mimi naomba kujuzwa umuhimu wa daraja hili refu Africa mashariki na kati, maana mara nyingi miradi ya aina huwa ni lazima ifanyiwe tathimini ya kina kwa kupima umuhimu wake kwa jamii husika, gharama na jinsi pengine namna ya kuziepuka gharama kubwa mno kwa solutions nyepesi yenye gharama nafuu lakini zaidi umuhimu wake.

*Daraja la mkapa ilikuwa ni la lazima kama kiunganishi cha mikoa na kanda.
*Wami ilijengwa kama kiunganishi cha kanda.
*Alkadhalika malagarasi na n.k.
#why are we chops the bridges insides the lake.
 
Faida ya kwanza ni urahisi wa kufika sehem, pili nikipatao kila gari italipia inategemea kiwango gani kitawekwa..3 ajira...
 
Crocodiletooth, Kiuhalisia hilo daraja litarahisisha mno usafiri kati ya Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma. Hebu fikiria anatumia masaa matatu hadi matano kusubiri kivuko kwenye hizo km 3.4.
 
Limbukeni mimi naomba kujuzwa umuhimu wa daraja hili refu Africa mashariki na kati, maana mara nyingi miradi ya aina huwa ni lazima ifanyiwe tathimini ya kina kwa kupima umuhimu wake kwa jamii husika, gharama na jinsi pengine namna ya kuziepuka gharama kubwa mno kwa solutions nyepesi yenye gharama nafuu lakini zaidi umuhimu wake.
Kingine stone kaamua kuweka legacy kwa kanda teule ili asisahaulike!
 
Kiuhalisia hilo daraja litarahisisha mno usafiri kati ya Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma. Hebu fikiria anatumia masaa matatu hadi matano kusubiri kivuko kwenye hizo km 3.4.
Nimepata mwangaza kidogo sasa,kwani haikiwezekana kuongeza boat ya pili ili kuondoa kadhia hiyo? na hizo fedha zikapelekwa Mwalimu nyerere hydropower project.
 
Mbona kuna Pantoni tatu na sio Moja lakini foleni ni kubwa!
 
Jiwe: Baada ya kuweka Jiwe la ufunguzi sasa tutahamisha nguvu kazi Chato Stadium miradi mikubwa tunaifanyia Mwanza ili kutukuza cha Nyumbani ccm oyee kimya milele

JK: Awamu yangu nilikuwa napuyanga tu hata bandari ya Bagamoyo ilinishinda huyu msukuma anataka sifa sasa

😂😂😂😂😂
 
Daraja linaunganisha kwa urahisi kanda ya Ziwa na nchi za Rwanda/Burundi na Uganda.Na kama hujawahi kaa saa nzima kusubiria ferry igeuze shut the https://jamii.app/JFUserGuide up,you dont know what you're sayin.
 
Wewe ni (k)

Back
Top Bottom