Wakuu nina mpango wa kutuma maombi nacte kusoma hiyo course.. Je ni course nzuri? Field zake ni kama zipi? Na zipi Changamoto zake? Chuo gani kizuri kusomea hiyo course? Naombeni mnisaidie wakuu
Well, Marketing is one of the very competitive program in today's world, just like there is no any office which can run smoothly without the presence of accountants, the same is true for marketers. There is no any company (public or private )which aims at doing business can operate without marketers.Wakuu nina mpango wa kutuma maombi nacte kusoma hiyo course.. Je ni course nzuri? Field zake ni kama zipi? Na zipi Changamoto zake? Chuo gani kizuri kusomea hiyo course? Naombeni mnisaidie wakuu