Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,447
- 5,296
Wabongo tuna roho mbaya sana, hivi vitu atavijulia wapi, mambo ya export processing zones n.k yupo hapa anamkatisha tamaa mwenzake, sadHivi unajua bongo kuna kiwanda cha jeans kinauza nguo zake mamtoni tuu, yaan for export only?