Naomba kujuzwa kuhusu biashara hii yenye utajiri

Hawajui mtu anaweza weka kiwanda bongo kwa ajiri ya man power na target ya soko ikawa nje ni ngumu Sana kutoboa ukiwasikiliza wabongo
Tunakatishana tamaa kuliko kuhamasishana njia za kuvuka tulipo
Hiyo sasa ni tofauti ina maana nguo za zalishwa hapa then zapakiwa na kusafirishwa.
Mwaka 2012 baada ya kumaliza chuo kuna jamaa alinicheck akawa anataka kufungua production ya nguo hapa hapa then zinapelekwa Ulaya. Alikuwa nafanya prodcution ya hivyo Greece pia

Sikuwa na nnalojua akili ikaona ni muda wa kuwa tajiri, bora hata ningetafta mtu nimuulize anipe Abcs mimi nikawa namjibu nampa ma estimate makubwa nawaza nshatobia akaniona chenga akaachana na hiyo plan baada ya kutuma michoro ya patterns na materials kutengeneza nguo za kwanza kama sample.

Mimi nikampelekea fundi wa kitaani kwetu mzee kashona finishing ovyo. Nikamtumia na ndo utajiri nikausahau hivyo
 
Hahahahah hapo haiitaji kubahatisha inatakiwa ukikusudia fanya kweli sio utani tena, runachoferi mtu anaweza akakupa njia alafu ukashindwa kumeet customer demand
 
Inawezekana, nguo za vitenge na kanga, masuka ya kimasai ya shanga na yasiyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama unajua concept ya ecommerce business utakua unanielewa unawez uza hata iPhone,decoration,michoro ya ukutani nk kupitia online store ambapo utalenga zaidi wateja kupitia Facebook ads ambapo target utalenga wakazi wa hayo maeneo
 
Maeneo gani mkuu, mimi nlikuwa nauzaga sandles za kimasai fb, nafanya matangazo napata wateja dubai, mauritius, australia na nna duka etsy sema now liko domant
Bora wewe kuna watu wanakatisha tamaa humu,maneno yakukasikisha utazani mtu anakujua

Mim target yang nmeon chimbo hilo sema sijajua gharama wanazo charge kweny kutuma bidhaa na njia IPI ni haraka na nafuu
 
Kwanini mshangae kupeleka phone accessories na sendo Marekani?

Kuna phone accessories za simu kama makava yametengenezwa kiasili ukipeleka huko yatauzika tu

Kuna sendo za kimasai je huko huwezi uza?

Negativity ya vijana
 
Ni rahisi na hakuna kodi. Ghalama ipo kwenye makampuni utakayotumia. DHl post EMS nk. Hii nzuri na ghalama ni kubwa. Wanatoza kwa KG. Kama ni mzigo mikubwa unaweza tumia njia ya Maji. Huku kuna process zake ndefu kidogo. Unaweza andika hapa JamiiForums kuna nyuzi kadhaa zimeeleza. Last year nilituma zile dude za kuvaa mkononi.
 
Naomba namba zako PM
 
Kwamba bwana wewe unataka kusafirisha mitumba na tecno kutoka bongo kwenda ughaibuni!? Hili nalo linaweza kua ajabu la dunia.
Tecno umesema wewe! Au ni vile unatumia Tecno basi unawaza Biashara ni Tecno, Wabongo kitu kama hukijui usijifanye mjuaji, tulia usikilize mwisho wa siku utajifunza vingi na vitakusaidia sana.
Haya turudi kwenye point ya mtoa mada, yeye ameomba anaejua njia nzuri ya kuweza kusafirisha bidhaa zake kutoka Tanzania kwenda USA hajawaomba ushauri wa soko, soko analo ila anataka jinsi ya kufikisha bidhaa zake uko.
 
Naona thread ya kiume kutoka kwa mpambanaji. Halafu imevamiwa na majobless na zero brain. Kazi yao kukejeli. Tu
Kweli uhuru umezidi.
If siku hizi imejawaa na watoto wa hovyo wengi sana.
Kizazi hiki mkuu ni mtihani sana, tena hii mada wangekaa kwa kutulia ingewafungulia milango wengi tu humu, ila wanakuja na ujuaji na wasichokijua,
Hivi sijui hata kama wemewahi kusikia kitu kinaitwa AGOA
 
Back
Top Bottom