Naomba kujuzwa kozi bora itakayomfaa baada ya kuhitimu Diploma hii...

0swagg

Member
Jun 29, 2020
36
12
Muhitimu wa Diploma in Records Management Chuo cha Utumishi wa Umma ana GPA nzuri na anataka kujua kozi bora atakazoweza kufit kulingana na Diploma yake kwenye ngazi ya Bachelor Ukitoa kozi za VETA
 
Back
Top Bottom