Naomba kujuzwa kampuni inayozalicha vichwa bora vya USB

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu naomba mniambie ni kampuni gani ambayo wanazalisha vichwa bora vya USB charger na bei yake

NB: Hapo mwanzo nilikua natumia hii.

IMG_20201113_065046.jpg
IMG_20201113_065038.jpg
IMG_20201113_065030.jpg
IMG_20201113_065030_1.jpg

Haija chukua mda mrefu sana naona nikilinganisha na bei niliyonunua
 
Nunua kampuni ya Oraimo nakuhakikishia hutajuta ukiweza nunua chager complete yaani kichwa na usb yake kama hawajaanza kuichakachua aisee iko fasta sana na ni imara
Mkuu hivi eti chaja za oraimo zinao uwezo wa kujaza simu chaji kwa nusu SAA pekee
 
Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
 
Mkuu hivi eti chaja za oraimo zinao uwezo wa kujaza simu chaji kwa nusu SAA pekee
Simu zinazojaa kwa haraka chini ya saa zinatumia chaja maalum toka kampuni husika, Oraimo ni 5V 2A charger ambayo ni 10W, hizo zinazojaza upesi Huanzia 45W na kuendelea nyengine zinafika hadi 100w na zaidi.

Kutegemea na simu yako ndio unachagua charger ya haraka zaidi.
 
Kwahiyo mkuu hivi vitecno vyetu spark 3 nk haviwezi kupata chaja ya kuvijaza kwa SAA 1 au chini ya hapo
 
Angalia hii hapa ni charger ya tecno ina lort 2 za USB. Na inaSupport power zifuatazo kulingana na simu iliyochomekwa.

10W,
14W,
18W,
24W.

Ingawa performance yake sio ya kulinganisha na high-end products. Kweli inajitahidi nimejaribu kwenye baadhi ya simu inafanya vyema. Ila ukitumia port zote 2 haiwezi perform.
 
Attachments

  • Screenshot_2020-11-13-18-34-53.png
    Screenshot_2020-11-13-18-34-53.png
    105.6 KB · Views: 2
Angalia hii hapa ni charger ya tecno ina lort 2 za USB. Na inaSupport power zifuatazo kulingana na simu iliyochomekwa.

10W,
14W,
18W,
24W.

Ingawa performance yake sio ya kulinganisha na high-end products. Kweli inajitahidi nimejaribu kwenye baadhi ya simu inafanya vyema. Ila ukitumia port zote 2 haiwezi perform.
Ipo verified na usb power delivery? Kama haipo inamaana ni proprietary tu, inachaji simu zao.

Unaweza test kwa simu za qualcomm na kuweka app kama accubattery na kuweka result hapa?

Na model pia ungeweka.
 
Back
Top Bottom