Kwa ubora wa kawaida unaoridhisha tafuta oraimo kama mdau alivyosemaWakuu naomba mniambie ni kampuni gani ambayo wanazalisha vichwa bora vya USB charger na bei yake
NB ;Hapo mwanzo nilikua natumia hii. View attachment 1625274View attachment 1625275View attachment 1625276View attachment 1625277
Haija chukua mda mrefu sana naona nikilinganisha na bei niliyonunua
Nunua kampuni ya Oraimo nakuhakikishia hutajuta ukiweza nunua chager complete yaani kichwa na usb yake kama hawajaanza kuichakachua aisee iko fasta sana na ni imaraKwa ubora wa kawaida unaoridhisha tafuta oraimo kama mdau alivyosema
Mkuu hivi eti chaja za oraimo zinao uwezo wa kujaza simu chaji kwa nusu SAA pekeeNunua kampuni ya Oraimo nakuhakikishia hutajuta ukiweza nunua chager complete yaani kichwa na usb yake kama hawajaanza kuichakachua aisee iko fasta sana na ni imara
Simu zinazojaa kwa haraka chini ya saa zinatumia chaja maalum toka kampuni husika, Oraimo ni 5V 2A charger ambayo ni 10W, hizo zinazojaza upesi Huanzia 45W na kuendelea nyengine zinafika hadi 100w na zaidi.Mkuu hivi eti chaja za oraimo zinao uwezo wa kujaza simu chaji kwa nusu SAA pekee
Chief heshima kwako kiongozii....Simu zinazojaa kwa haraka chini ya saa zinatumia chaja maalum toka kampuni husika, Oraimo ni 5V 2A charger ambayo ni 10W, hizo zinazojaza upesi Huanzia 45W na kuendelea nyengine zinafika hadi 100w na zaidi.
Kutegemea na simu yako ndio unachagua charger ya haraka zaidi.
Unatumia simu gani?Wakuu naomba mniambie ni kampuni gani ambayo wanazalisha vichwa bora vya USB charger na bei yake
NB: Hapo mwanzo nilikua natumia hii.
View attachment 1625274View attachment 1625275View attachment 1625276View attachment 1625277
Haija chukua mda mrefu sana naona nikilinganisha na bei niliyonunua
HUAWEI Y9 Prime 2019Unatumia simu gani?
Kwahiyo mkuu hivi vitecno vyetu spark 3 nk haviwezi kupata chaja ya kuvijaza kwa SAA 1 au chini ya hapoSimu zinazojaa kwa haraka chini ya saa zinatumia chaja maalum toka kampuni husika, Oraimo ni 5V 2A charger ambayo ni 10W, hizo zinazojaza upesi Huanzia 45W na kuendelea nyengine zinafika hadi 100w na zaidi.
Kutegemea na simu yako ndio unachagua charger ya haraka zaidi.
Huwezi, kwa spark 3 tafuta chaja kama hio waliopendekeza juu ya 2Amps, Oraimo.Kwahiyo mkuu hivi vitecno vyetu spark 3 nk haviwezi kupata chaja ya kuvijaza kwa SAA 1 au chini ya hapo
Hii pia haina fast charging tumia hio Oraimo.HUAWEI Y9 Prime 2019
Ipo verified na usb power delivery? Kama haipo inamaana ni proprietary tu, inachaji simu zao.Angalia hii hapa ni charger ya tecno ina lort 2 za USB. Na inaSupport power zifuatazo kulingana na simu iliyochomekwa.
10W,
14W,
18W,
24W.
Ingawa performance yake sio ya kulinganisha na high-end products. Kweli inajitahidi nimejaribu kwenye baadhi ya simu inafanya vyema. Ila ukitumia port zote 2 haiwezi perform.