Naomba kujuzwa kama IFM na IAA ni vyuo vya umma au binafsi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa kama IFM na IAA ni vyuo vya umma au binafsi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Oct 26, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Wadau,kutokana na ada pamoja na michango mingne inayotozwa na hvo vyuo imenifanya niulze kama hvo vyuo ni vya umma au binafsi,na kuna nin cha ziada wanafunzi wanachokipata hapo hadi watoze ada kubwa kiasi hcho?ntatolea mfano IAA,ada kwa mwaka ni 1,500,000tsh,hostel 400,000,kuna 250,000 ambayo hawajaeleza ni ya nin,hapo bado mtu hajala wala hajatoa copy.wanatuumizia wadogo zetu eti jaman.
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kwani dogo hakuiona udom? Muache aenyeke sasa.Nyio ndio walewale mnataka madogo eti wapige vyuo binafsi wakati mnajijua home choka kwa kutegemea heslb iwakingie vifua,sasa hayo ndio matokeo ya ubishi,Na taarifa isiyo rasmi hiyo ada wanampango wa kuiongeza to tsh 1.7 mn kwenye ishu za sayansi.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  kwan ye si amepelekwa na hawa wanaojiita cjui Tcu jaman?
   
 4. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hivi vyuo viko chini ya wizara ya fedha na hakuna kitu special chochote kinachotolewa kweli hua kina michango mingine hua haieleweki hivi ndio hivo ushapangiwa ndio nchi yetu mkuu!
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Unataka kusema hakuomba vyuo hivyo? Ndio maana kuna website na prospectus za Vyuo ungetumia vizuri kabla ya ku apply yasingekukuta hayo. Halafu na wewe kama msomi role yako ilikuwa nini wakati wa application? Kwani usingeshauri aombe vyuo ambavyo ada ni nafuu?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  kilikua chuo cha mwisho ktk machaguo yake yote 8 na hakujua ka angerushwa huko..
   
 7. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  mshauri dogo wa-organise migomo wateremshiwe ada hiyo,Mwambie yeye ndio hawe kinara maana watoto wa hivyo vyuo IFM na IAA wengi waoga waoga.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  dogo lenyewe la kike.
   
 9. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha!Hapo nikupe pole Senetor,kitachofuata unakijua kama hali yake inakuwa ngumu...
   
Loading...