Naomba kujuzwa kama aliyesoma Diploma hii anaweza kuendelea na Digrii

Samily de cruze

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
230
680
Habari wana JF (wasomi) nimeweka Uzi huu kwa nia ya kujifunza na kuelekezwa kuhusu ili.

Je kwa mtu aliye soma diploma ya business administration anaweza kuendelea mpaka digrii au haiwezekani?

Naomba tujuzane plz.



Nimewasilisha. Asante.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom