Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka Password kwenye Folder ya Windows 10

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
3,164
3,815
Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer
Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
 
Back
Top Bottom