Naomba kujuzwa jinsi ya kutia ladha kwenye popcorns

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,051
Naomba kuelezwa wenye ujuzi wa kutia ladha kwenye bisi,, nilibahatika kuzila Mara moja nilishangaa vile zilivyoongezewa viungo, ni vitu gani hutiwa?
2017-05-28-12-12-11-1184657882.jpeg
 
Unaweza weka ndimu ya unga na pilipili ya unga kwa mbaliii usisahau chumvi.
 
Kutia ladha ya cocoa kwnye pop corn unatakiwa kufanya hivi.
Kuwa na cocoa yako chukua vijiko kiasi koroga na maji kisha pale unapoweka mahindi kwenye mashine ndio unayanyunyizia, kwa maana hiyo mahindi yatakapo burst ndio yanachukua ladha ya cocoa automatic.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom