Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Ndugu zangu

Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania.

Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?

Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
 
Ndugu zangu

Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote tanzania.
Je bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
Halmashauri ni mwendo wa kujitolea tu
 
Utumishi wametangaza kazi kwenye halmashauri angalia unaweza pata inayokufaa ukaomba
 
Ndugu zangu

Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote tanzania.
Je bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
siku izi ajira zote Inazotangazwa na halmashauri zinasimamiwa na PSRS janja janja imepingua siku izi sio kama zamana ukifahamiana na mkurugenzi tu kazi umepata

wenye mamlaka ya kuajairi ajira za kudumu serikalini ni PSRS ila ingawa bado kuna taasisi baadhi zinaendelea kusimamia usaili wa ajira walizozitangaza
 
Acha kuzubaa na kudanganywa,ajira za serikalini sasaivi zinapotia Sekretarieti ya Ajira,jisajiri usubirie ajira zikitangazwa uombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom