Naomba kujuzwa jina la hili game

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Mwenye kujua jina la hili game? Nakumbukaga nilichezaga zamani sana kwenye pc na kama una mage mengine ambayo latest ya mtindo huu naomba pia majina.​

IMG_20210521_145217_854.jpg
 
Ngoja ni kwambie kitu hili ni game la draft ambalo kila unavyozidi kucheza ndio lina zidi kuwa ngumu hakuna mtu anayefutahia cartoon kumvulia nguo bali nalipenda kutokana lina challenge nyingi ndio maana hapo mwishoni nikasema kama unajua magame kama hayo mengine nitajieni
Draft ngumu zipo nyingi mtandaoni... Kwanini utake hilo tu? 😊😊

Samahani mkuu kama nimekukera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom