Brastus Jnr
Member
- May 1, 2020
- 12
- 6
Naomba kufahamu hatua za kufuata unapotaka kuendelea na chuo baada ya kupostpone bila ya kufuata utaratibu ie. Kuandika barua katika chuo ulichochaguliwa hapo mwanzo.
UDSM, SAUTChuo gani? Tuanzie hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mwaka huu Corona imeharibu sijui kama kuna kusomaMwanzo nilichaguliwa josia kibila so nataka niapply kingine mwaka huu
Naomba kufahamu hatua za kufuata unapotaka kuendelea na chuo baada ya kupostpone bila ya kufuata utaratibu ie. Kuandika barua katika chuo ulichochaguliwa hapo mwanzo.
Swali la kwanza je ulifika chuoni na kujiregister? Kama hukufanya hivyo basi uwasiliane na TCU uwaeleze shida yako.Mwanzo nilichaguliwa josia kibila so nataka niapply kingine mwaka huu
Asante nimekuelewaunatakiwa kwenda chuo ulichokuwa unasoma kuna barua watakupa utaemda nayo TCU kuterminate masomo baada ya hapo unakuwa free kuomba chuo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kiongozi nimekupataSwali la kwanza je ulifika chuoni na kujiregister? Kama hukufanya hivyo basi uwasiliane na TCU uwaeleze shida yako.
Kama uli-register chuo halafu ukaondoka bila taarifa, chuo kitakuhesabu ume-abscond na kutegemea ilikuwa mwaka gani basi huenda ukawa wamekwisha kudisco. Hapo tena uende TCU kwani wao wanajua wewe ni mwanafunzi wa chuo waliko kuthibitisha. Hivyo kwa vyovyote vile wasiliana na TCU kwa majibu sahihi mapema iwezekanavyo.
Mungu atasaidia hali itakaa sawaMkuu, mwaka huu Corona imeharibu sijui kama kuna kusoma
By the way tukutane Katavi - Mizengo pinda cumpus
Nimekuelewa mkuu asante SanaNenda chuo ulichochaguliwa mwanzo waambie wakupe barua kua hukuendelea na masomo. Hua wanazo standby.
Kisha ipeleke tcu, nadhani kuna form au barua unaandika ukiambatanisha hiyo barua ya chuo.
TCU wakipokea maombi yako ndani ya siku 2 au 3 watakuondoa kwenye data base yao ili wewe uweze kuomba upya. Kwa sasa bado uko kwenye database yao kama mwanafunzi au mhitimu.