leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,767
- 1,703
Nina imani hili jukwaa limekamilika kwa maana elimu na ujuzi pamoja na uzoefu vinapatikana hapa.
Nina project yangu ya ujenzi ambayo itahitaji zege la kutosha sasa nimeonelea niagize zege la class 25 toka kwenye malori yanayotembeza.
Shida yangu kubwa in kujua kiasi cha zege kwenye ule mtungi na gharama yake kwa cubic meter moja, na gharama za umbali kwenda kwenye site.
Pia ningependa kujua ukubwa au unene na urefu wa vibrator inayotumiwa kushindilia zege.
Asanteni kwa kunielewa.