Naomba kujuzwa gharama za zege au concrete

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,767
1,703
Nina imani hili jukwaa limekamilika kwa maana elimu na ujuzi pamoja na uzoefu vinapatikana hapa.

Nina project yangu ya ujenzi ambayo itahitaji zege la kutosha sasa nimeonelea niagize zege la class 25 toka kwenye malori yanayotembeza.

Shida yangu kubwa in kujua kiasi cha zege kwenye ule mtungi na gharama yake kwa cubic meter moja, na gharama za umbali kwenda kwenye site.

Pia ningependa kujua ukubwa au unene na urefu wa vibrator inayotumiwa kushindilia zege.

Asanteni kwa kunielewa.
 
leipzig,
Inapaswa upige hesabu unataka zege kiasi gani , alafu ndio unawaambia
Nadhani min volume n cube nne
 
Yeah wapo vizuri,wanacharge kwa cubic mita Hawa nafikiri gharama inabidi wachek na distance kutoka kiwandani kwao na Kama unawataka Hawa usiwe na kikazi kidogo Mimi niliwatumia kwenye swimming pool la meter 100 *50.
Camel Concrete
Physical Address:
Plot No. 4/1, 4/2 Mandela Road, Mabibo Area
P. O. Box 22786, Dar es Salaam, Tanzania
Email:
info@camelconcrete.net
 
Being zao kwa cubic Meter zilikuwaje?
Yeah wapo vizuri,wanacharge kwa cubic mita Hawa nafikiri gharama inabidi wachek na distance kutoka kiwandani kwao na Kama unawataka Hawa usiwe na kikazi kidogo Mimi niliwatumia kwenye swimming pool la meter 100 *50.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom