Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa nyumba ndogo

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,185
9,109
Habari ndugu zangu,

Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.

Nimeuliza gharama ili nijue namna ya kupatana nisije kupigwa sana, eneo ni Chanika -- kiwanja kiko flat hakuna milima.
 
Hiyo ndio nyumba ndogo? Ma weee usije ishia kwenye BOMA 🏃🏃
 
Habari ndugu zangu,

Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.

Nimeuliza gharama ili nijue namna ya kupatana nisije kupigwa sana, eneo ni Chanika -- kiwanja kiko flat hakuna milima.
Andaa milioni 35 kama kianzio
 
Vyumba 4 sio nyumba ndogo na gharama inategemea kwenye material utakayotumia si chini ya 40m
 
Dah!anyway Jana nilikuwa na fundi naona itakuwa chini kidgo ya hiyo hesabu zilienda poa

Ni ngumu sana kwa nyumba ya vyumba 4 kuwa chin ya hela hiyo mpka ikamilike! Fundi lazma akupe estimate za chin hili apate kazi na ukiingia na mentality hyo ya kuamini mafundi jasho litakutoka!
 
Unataka gharama za ujenzi wa nyumba au ya fundi? Afu hiyo ya vyumba 4 sio ndogo mkuu
Kwanini inasema sio ndogo? Ni kubwa kwako ila kwake ni ndogo.

Wewe jibu anachohitaji. Gharama za ujenzi wa hiyo nyumba ndogo kama alivyoielezea.
 
Ni ngumu sana kwa nyumba ya vyumba 4 kuwa chin ya hela hiyo mpka ikamilike! Fundi lazma akupe estimate za chin hili apate kazi na ukiingia na mentality hyo ya kuamini mafundi jasho litakutoka!
Sawa mkuu ila niko site angalau hadi sasa hesabu hazijawa vibaya patapo baki nitamalizia nikiwa humo humo
 
Andaa milioni 35 kama kianzio
Brother wewe ni mtalaamu haswa wa ujenzi I wish ningekushirikisha hatua kwa hatua ni kweli lazima nifikie hicho kiasi kukamilisha mipango ya ujenzi kwa Sasa Niko gypsum na tiles na nimechoka hatari
 
Back
Top Bottom