Naomba kujuzwa gharama za kusoma Masters Uingereza

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Nataka masters yangu nikachukulie nje Uingereza ,naomba kujuzwa niandae kiasi gani kwa gharama za malazi, chakula, mavazi na ada. Naomba kujuzwa
 
Kwa uzoefu wangu, unahitaji si chini ya pauni 10, 000 kwa ada na pauni 10,000 kwa matumizi yako ya malazi na chakula. Kwa shilingi za Kitanzania unahitaji si chini ya shilingi milioni 50 kwa mwaka. Kwa uhakika utembelee wavuti wa chuo unachotaka kusoma ili upate taarifa sahihi.
 
kwani hiyo masters unayohitaka hapa tanzania hakuna mpka uingie gharama zote hizo mkuu?
au unataka ubadili upepo
 
Tafuta University ambazo ziko nje ya London accommodation ni cheaper. Huko mikoani kuna miji ambayo inasurvive kwa kuwa na university, utakuta matajiri wamefanya investiment kwa students accommodations. Unaweza kupata studio flat kwa £450 pcm ambayo inaiclude umeme, internet, maji, and is full furnished. London ni ghali sana kwa mwanafunzi.
 
Nataka masters yangu nikachukulie nje Uingereza ,naomba kujuzwa niandae kiasi gani kwa gharama za malazi, chakula, mavazi na ada. Naomba kujuzwa
mkuu pia kuna jamaa wanajiita GLOBAL EDUCATION LINK wapo pale sabasaba maonyesho ndani wanasaidia kukupa admision kwa hvyo vyuo vya nje na pia kukupa mwongozo wa bajeti katk vyuo ambavyo wao wanashrikiana navyo;hebu jarbu kuwatembelea upate info kdogo
 
Kwa uzoefu wangu, unahitaji si chini ya pauni 10, 000 kwa ada na pauni 10,000 kwa matumizi yako ya malazi na chakula. Kwa shilingi za Kitanzania unahitaji si chini ya shilingi milioni 50 kwa mwaka. Kwa uhakika utembelee wavuti wa chuo unachotaka kusoma ili upate taarifa sahihi.
Mshahara wa wiki wa kinda pale viunga vya emirates paund 20000
 
Back
Top Bottom