Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Waheshimiwa, kwanza natanguliza salamu.
Ninapanga kukwea Mlima Kilimanjaro mwezi January, 2018. Ningependa kupata makadirio ya gharama zifuatazo:
- Gharama za mbeba mizigo
- Nguo maalumu, boots, fimbo, nk.
- Tent (hii unaweza kukodisha kule?)
- Fees zote zinazohusika
Ningependa kupata haya makadirio mara moja ili nimtumie mtu.
Natanguliza shukrani!