Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

Kama hujapima afya na kujua kama uko fit kupanda au la, gharama kubwa kabisa inaweza kuwa maisha yako.

Kuna kaka yetu mmoja miakamingi iliyopita alienda na wenzake wa Arusha School, mwenzao mmoja akafariki, kwa kuwa alipanda mlimatu bilakuangalia afya kwanza kama anaweza kupanda.
Kumbe kuna vitu huchangia bila kumhate JPM?
 
c2835f7cf6e24d28a3085b378fc1c1c1.jpg

Gharama miguu yako
 
Mkuu gharama kwa upande wa guide na porters sometimes kibongo~bongo zinategemea. Point yangu ya msingi hapa ni kwamba kama uko vizuri kwenye kutembea basi gharama itapungua kidogo coz kuna baadhi ya vituo vya kupumzika itabidi kuunga moja kwa moja na hii inategemea pia mtakuwa mmepanda kwa kutumia njia ipi.

Katika kupanda mlima respectively njia sio moja kuna njia nyingi kwa mfano kuna njia ya Machame, Lemosho, Rongai, Marangu etc, etc. Hapo kuna njia kuna sio mzuri wa kutembea hutoboi manaake ni balaa.

But so far kupanda kama uko vizuri huwa inachukua siku 7 hadi 10 that is kama ni siku 7 basi siku 5 zitakuwa za kupanda to the peak alafu siku 2 ni za kushuka. Na pia hakikisha afya yako iko vizuri na usiwe na matatizo ya kifua.

Hali ya hewa kubadikika ghafla huko juu na kuanza kudondosha theluji ni jambo la kawaida sana au mvua kuwakuta njiani wakati mnatembea mkanyeshewa hata kwa masaa mawili au matatu ni jambo la kawaida sana.

Mind you sometimes kutegemea na njia uliyopandia swala la kutembea 20~25 km's per day ni jambo la kawaida thats why inatakiwa uwe vizuri kwenye kutembea.
 
Shukrani mkuu kwa haya maelezo. Kiafya najua niko vizuri, nitafanyafanya mazoezi kujiweka fiti zaidi.
 
Unataka kupanda wewe kama mTZ? Kama ni wewe andaa laki 5 na nusu nikupe kampuni safi kabisa ikupandishe na hautajuta. Hiyo fedha ni kila kitu kabisa, kuanzia mpishi, chakula, kulala njiani, bima, mbebaji mizigo na kukodi mavazi spesheli ya kupandia. Hata na usafiri kukutoa moshi mjini hadi getini Marangu.

Ndiyo napanda kama MTZ. Nitumie info za hiyo kampuni, utakuwa umenisaidia. Ila hiyo hela bado ni ndefu ila nadhani tunaweza kuongea.
 
Back
Top Bottom