Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
987
Likes
668
Points
180
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
987 668 180
Waheshimiwa, kwanza natanguliza salamu.

Ninapanga kukwea Mlima Kilimanjaro mwezi January, 2018. Ningependa kupata makadirio ya gharama zifuatazo:

- Gharama za mbeba mizigo
- Nguo maalumu, boots, fimbo, nk.
- Tent (hii unaweza kukodisha kule?)
- Fees zote zinazohusika

Ningependa kupata haya makadirio mara moja ili nimtumie mtu.

Natanguliza shukrani!
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
7,939
Likes
3,897
Points
280
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
7,939 3,897 280
ngoja waje wakali wa hizo kazi
 
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Messages
3,031
Likes
6,218
Points
280
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2016
3,031 6,218 280
Kupanda mlima ni bure tu wachagga wanaupanda kila siku, ila kwenda mpaka kileleni kule ndiyo nadhani kuna mamlaka na mahitaji kama hayo unayoyaainisha, ila sijui, nadhani ungeingia kwenye website ya Wizara ya mali asili na utalii hapo utapata taarifa kamili. Ila nadhani kuja hapa JF wengi nadhani wanapenda kupanda viunoni.
 
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Messages
2,175
Likes
548
Points
280
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2009
2,175 548 280
Budgeting: how much does it cost to climb Kilimanjaro?
The most significant cost of your holiday in Tanzania is the cost of the Kilimanjaro trek itself. The absolute cheapest trek is around US$1000. To get this price, however, you would probably have to travel directly to Tanzania and negotiate with various agencies, look to join a group, and opt for the cheapest route (Marangu, probably) and the shortest number of days (5). As soon as you start looking at a route other than Marangu, opt for more days (highly advisable, or your body probably won’t have enough time to acclimatise), or insist on walking without other trekkers, or go with anything but the cheapest (and thus, probably, worst!) operator – then count on it costing a good deal more. A decent trek, should, to be honest, cost double this – US$2000-3000.

Once on the mountain, however, you won’t need to pay for anything else throughout the trek, except for the occasional chocolate bar or beer which you can buy at the ranger’s huts on the way (though don’t forget tipping!!!).

Budgeting - Climb Mount Kilimanjaro
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
2,361
Likes
2,614
Points
280
Age
38
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
2,361 2,614 280

sasa bajeti hizo si ni kwa wageni?? hadi sisi wazawa! kama hadi kwa wazawa costs ni hizo ndio maana utalii wa ndani unaporomoka siku hadi siku
 
Black Coffee

Black Coffee

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
1,691
Likes
2,486
Points
280
Black Coffee

Black Coffee

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
1,691 2,486 280
Ni very cheap mkuu ila join group ili muweze kushare cost kwa accomodattion Nadhani Hut, kibongo kibongo ili usimuumize porter, guide Andaa kuanzia 600-1000 japo hata chini ya hapo inawezekana
NB: fanya mazoezi Sana Kama maandalizi maana unaweza usifike summit center sio mchezo mchezo hii trip, pia usisahau kucheki afya mkuu
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
987
Likes
668
Points
180
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
987 668 180
Ni very cheap mkuu ila join group ili muweze kushare cost kwa accomodattion Nadhani Hut, kibongo kibongo ili usimuumize porter, guide Andaa kuanzia 600-1000 japo hata chini ya hapo inawezekana
NB: fanya mazoezi Sana Kama maandalizi maana unaweza usifike summit center sio mchezo mchezo hii trip, pia usisahau kucheki afya mkuu
Asante sana kwa maelezo yako. Kwa hiyo hizo hema tayari zipo huko milimani siyo na gharama zake zikoje? Na hiyo 600-1000 ndiyo gharama ya guide au?

Napanga kuanza mazoezi ya kukimbia beach.
 
kobokocastory

kobokocastory

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2014
Messages
1,054
Likes
1,197
Points
280
kobokocastory

kobokocastory

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2014
1,054 1,197 280
Asante sana kwa maelezo yako. Kwa hiyo hizo hema tayari zipo huko milimani siyo na gharama zake zikoje? Na hiyo 600-1000 ndiyo gharama ya guide au?

Napanga kuanza mazoezi ya kukimbia beach.
Mkuu gharama kwa upande wa guide na porters sometimes kibongo~bongo zinategemea. Point yangu ya msingi hapa ni kwamba kama uko vizuri kwenye kutembea basi gharama itapungua kidogo coz kuna baadhi ya vituo vya kupumzika itabidi kuunga moja kwa moja na hii inategemea pia mtakuwa mmepanda kwa kutumia njia ipi.

Katika kupanda mlima respectively njia sio moja kuna njia nyingi kwa mfano kuna njia ya Machame, Lemosho, Rongai, Marangu etc, etc. Hapo kuna njia kuna sio mzuri wa kutembea hutoboi manaake ni balaa.

But so far kupanda kama uko vizuri huwa inachukua siku 7 hadi 10 that is kama ni siku 7 basi siku 5 zitakuwa za kupanda to the peak alafu siku 2 ni za kushuka. Na pia hakikisha afya yako iko vizuri na usiwe na matatizo ya kifua.

Hali ya hewa kubadikika ghafla huko juu na kuanza kudondosha theluji ni jambo la kawaida sana au mvua kuwakuta njiani wakati mnatembea mkanyeshewa hata kwa masaa mawili au matatu ni jambo la kawaida sana.

Mind you sometimes kutegemea na njia uliyopandia swala la kutembea 20~25 km's per day ni jambo la kawaida thats why inatakiwa uwe vizuri kwenye kutembea.
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,261
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,261 280
Waheshimiwa, kwanza natanguliza salamu.

Ninapanga kukwea Mlima Kilimanjaro mwezi January, 2018. Ningependa kupata makadirio ya gharama zifuatazo:

- Gharama za mbeba mizigo
- Nguo maalumu, boots, fimbo, nk.
- Tent (hii unaweza kukodisha kule?)
- Fees zote zinazohusika

Ningependa kupata haya makadirio mara moja ili nimtumie mtu.

Natanguliza shukrani!
Kama hujapima afya na kujua kama uko fit kupanda au la, gharama kubwa kabisa inaweza kuwa maisha yako.

Kuna kaka yetu mmoja miakamingi iliyopita alienda na wenzake wa Arusha School, mwenzao mmoja akafariki, kwa kuwa alipanda mlimatu bilakuangalia afya kwanza kama anaweza kupanda.
 
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
2,144
Likes
3,243
Points
280
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
2,144 3,243 280
Unataka kupanda wewe kama mTZ? Kama ni wewe andaa laki 5 na nusu nikupe kampuni safi kabisa ikupandishe na hautajuta. Hiyo fedha ni kila kitu kabisa, kuanzia mpishi, chakula, kulala njiani, bima, mbebaji mizigo na kukodi mavazi spesheli ya kupandia. Hata na usafiri kukutoa moshi mjini hadi getini Marangu.
 
kobokocastory

kobokocastory

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2014
Messages
1,054
Likes
1,197
Points
280
kobokocastory

kobokocastory

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2014
1,054 1,197 280
Vigimbi viliuma wiki mbili sijiwezi, nmetembea hadi ikafika kipindi miguu hainyanyuki tena, sina hamu kwakweli!!!!
Ha, haa, haaaa pole sana mkuu..
Nina imani ndani ya hizo wiki mbili hata papuchi hukutoa kwa shemeji.
 
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
2,224
Likes
2,073
Points
280
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
2,224 2,073 280
Nialike na mm kama potar but garama n 1000 us
 
La Vista14

La Vista14

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
801
Likes
509
Points
180
La Vista14

La Vista14

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
801 509 180
Budgeting: how much does it cost to climb Kilimanjaro?
The most significant cost of your holiday in Tanzania is the cost of the Kilimanjaro trek itself. The absolute cheapest trek is around US$1000. To get this price, however, you would probably have to travel directly to Tanzania and negotiate with various agencies, look to join a group, and opt for the cheapest route (Marangu, probably) and the shortest number of days (5). As soon as you start looking at a route other than Marangu, opt for more days (highly advisable, or your body probably won’t have enough time to acclimatise), or insist on walking without other trekkers, or go with anything but the cheapest (and thus, probably, worst!) operator – then count on it costing a good deal more. A decent trek, should, to be honest, cost double this – US$2000-3000.

Once on the mountain, however, you won’t need to pay for anything else throughout the trek, except for the occasional chocolate bar or beer which you can buy at the ranger’s huts on the way (though don’t forget tipping!!!).

Budgeting - Climb Mount Kilimanjaro
Unajiita nyati afu unaleta data za kunguni......

$1000 inajua ni tsh ngap wewe....
 
Forum statistics

Threads 1,236,789
Members 475,220
Posts 29,268,246