Naomba kujuzwa gharama ya kusafisha damu

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
4,206
5,454
Ndugu yangu kaambiwa damu yake chafu ina bacteria wengi inatakiwa kusafishwa shida hatujui galama ni kiasi gani kwa hospital za serikal na binafsi, tunaomba msaada kwa mtu anaye jua gharama zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafute Antibiotic anywee.. !! Kama Amoxclav au azuma akishindwa hata ampiclox.
 
Ndugu yangu kaambiwa damu yake chafu ina bacteria wengi inatakiwa kusafishwa shida hatujui galama ni kiasi gani kwa hospital za serikal na binafsi, tunaomba msaada Kwa mtu anaye jua galama zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu nani kakwambia bakteria wanasafishwa ili waondoke kwenye damu? Figo kazi take ni kuchuja damu na takataka zake ndio mkojo. Mashine inayosaidia kazi hiyo kiswahili wanaiita dylisis ( wataalam watasaidia hapo ) ni zaidi ya laki 3 au zaidi kutegemea Hospital na inawezekana ni Mara 2 kwa wiki, hivyo wanashauri tuwe na BIMA km NHIF
 
Amefanya Kipimo cha Culture?

Matibabu ya kuondoa Bacteria kwenye damu ni kutumia dawa Vidonge au Sindano kulingana na vipimo vya Culture and sensitivity vilivyoonesha.

Hiyo hospitali uloeenda nina mashaka na ufanisi wake tokea nione thread zako za jana, ulikompeleka huyo mgonjwa ni either hawaelewi wanachokifanya au wewe ndo ulikua hauelewi maelezo yanayotolewa.

Jaribu kumpeleka Mgonjwa hospitali nyigine yenye vipimo, naomba utofautishe Hospitali na zahanati.
 
Gharama sio galama.

Waulize hapo hapo hospital walipompima watakupa maelekezo ya dawa zipi zinatumika
 
Maajabu nani kakwambia bakteria wanasafishwa ili waondoke kwenye damu? Figo kazi take ni kuchuja damu na takataka zake ndio mkojo. Mashine inayosaidia kazi hiyo kiswahili wanaiita dylisis ( wataalam watasaidia hapo ) ni zaidi ya laki 3 au zaidi kutegemea Hospital na inawezekana ni Mara 2 kwa wiki, hivyo wanashauri tuwe na BIMA km NHIF
Dialysis
 
Bacteria huondolewa kwa antibiotic, iwe za kwenye mishipa ya damu au kumeza.

Mwili una safisha damu yake kupitia figo. Labda kama ameambiwa figo zake haziwezi kusafisha damu.
 
Bacteria hiundolewa kwa antibiotic, iwe za kwenye mishipa ya damu au kumeza.

Mwili una safisha damu yake kupitia figo. Labda kama ameambiwa figo zake haziwezi kusafisha damu.
Yeye kaambiwa damu yake ina takiwa kusafishwa Kwa kutumia mashine, mim siku wepo wakat mgonjwa ana pewa maelekezo Mimi nimepewa taarifa na mgonjwa, ndiyo maana nime kuja kuomba ushaur hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama sio galama.

Waulize hapo hapo hospital walipompima watakupa maelekezo ya dawa zipi zinatumika
Mimi naishi mbali na mgonjwa nime pewa taarifa tu kama ndugu wa karibu kwamba mgonjwa ana takiwa kusafishwa damu na zina takiwa zaid ya laki Saba, dawa za kutuliza maumivu na sindano kasha chomwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom