Naomba kujuzwa faida ya IST kwenye kuingiza kipato

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Habarini za muda huu nipo hapa mbele yenu kuna ndugu yangu anataka kununua gari aina ya IST ila anataka kuitumia kwa matumizi ya aina kuu mbili kwanza kwa safari zake za hapa ana pale pia kwaajili ya kumuingizia kipato.

Sasa anataka kujua je atumie njia gani ili iweze kumuingizia kipata kwa siku iyo gari.

Karibuni kwa mawazo yenu:

Mimi nilimuambia kuwa iyo gharama ya IST akasimamishie msingi wa nyumba nyumba kwenye kiwanja chake. Maana ana kiwanja pia
 
Back
Top Bottom