Dvj meck777
New Member
- Jun 28, 2021
- 2
- 0
Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
Kijijini huwa wanatumia mafuta ya taa na matobotobo.Dawa Ya jino
Daktari gani huyo kashindwa kukupa solution ?Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
Twanga unga wa karafuu upate unga wake kisha weka katika pamba kisha katika jino litatulia.Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.