PeterLugomo
Member
- Aug 27, 2015
- 19
- 17
Niimemaliza degree ya elimu natamani kujiendeleza kielimu ili niweze pia kuhama carrier hizo course tajwa ndion kipaumbele changu. Naomba msaada wa ipi ni sahihi kuisoma au kama kuna nyingne mnayoweza kunisaidia ili niisome.