G.O.A.T!Rough rider.
Mzee hiyo bull ilikua imeexpire.Rough rider ndo huwa natumia.
Kuna siku nilizikosa nikachukua Bull yani ni mwendo wa kuchanika tu.
For real for real, closest to kavuG.O.A.T!
Sijapata mbadala wake bado..
Somo kubwa hili.Condom inapasukaje? Badili Condom pale unapoona bado wazungu hawaji, hii husaidia pia kurudisha utelezi. Kwani kwa 100% unatindua mpaka unachana ndom lazima K itakuwa kavu.
Una ushahidi gani mkuu?Masikini huamini sex ndo starehe pekee iliyopo duniani
Rough rider inakupa uhuru wa kupiga style yoyote. Sasa kuna mengine unayatumia yanakulimit kwenye kifo cha mende tu. Hizi salama nilizitumia kitambo sana nikiwa shule, nilipoanza kutumia Fiesta nikaachana nazo. Kwanza zinaniumiza tumbo sijui nilikuwa na allergy nazo.Mzee hiyo bull ilikua imeexpire.
Kondomu shit nilizowahi kutumia ni Salama (kondomu shilingi 100) binti aliwashwa na zikachanika na nyingine ni Dume, Dume zinabana kiasi kwamba hata muda wa kumwaga unapatwa na maumivu kama vile umejifunga rubber band na nikavimba kwenye shina.
Ila pengine ulikua rough ndiyo maana unaprefer rough rider either that or am joking.
Unajikinga vipi na maradhi na mimba zisizotarajiwa?
Masikini na sex wapi na wapi. Mtu hana hela ya kula anaanzaje kuwaza sex.Masikini huamini sex ndo starehe pekee iliyopo duniani
nakumbuka hizo bull zilichonifanyia sina ham nazo tena. Siku nipo na manzi nikawa napump stoke za fasta na nguvu, ile kuchomoa nibadili style nashangaa ndom siioni nikamuuliza yule demu 'OYA UMEMEZA CONDOM?' akabaki nae kushangaa.Rough rider ndo huwa natumia. Kuna siku nilizikosa nikachukua Bull yani ni mwendo wa kuchanika tu.