Naomba kujuzwa CHUO KIZURI KINACHOTOA MASTER'S DEGREE IN INTERNATIONAL RELATIONS.

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,875
3,097
Za leooo WADAU WA JF
Kwa uzoefu na ufahamu wenu naomba mnisaidie kuniambia ,kuelezea au kunitajia vyuo ama chuo kikuu mashuhuri na kizuri kinachotambulika na serikali ya TZ na dunia nzima kwa ujumla kwa kutoa Master's Degree in International Relations.,pia km unamfahamu politician ama diplomat aliesoma chuo flan kizur kw masters hyo apo pia unaweza nitajia..ts my passion kuwa Diplomat,...na vgezo vya kusoma masters kw kiasi kikubwa nnavyo.....karibuni
 
Back
Top Bottom