Naomba kujuzwa Chuo kinachotoa kozi za IT Morogoro

Mpeleke IFM atakuwa vizuri zaidi! Mi nina I.T ya SUA ya kwenye cheti ila kimsingi utundu mwingi nimejifunzia mtandaoni.
 
Mpeleke IFM atakuwa vizuri zaidi! Mi nina I.T ya SUA ya kwenye cheti ila kimsingi utundu mwingi nimejifunzia mtandaoni.
Vyuo vyetu ni changamoto Sana usipojiongeza, unakuta chuo kinatoa kozi ya IT ila hakuna computers zenye uwezo wa wanafunz wa IT kujifunza vizurii na unakuta Ni chache. So usipojiongeza unabak na cheti chako mfukon basi
 
hiyo course haina zile umesoma chuo gan! usipojiongeza hata uksoma MIT unatoka mweupe pee yaani ile pee kabisa
 
Back
Top Bottom