Naomba kujuzwa bei za simu zifuatazo madukani: Samsung j7Pro, Samsung c9 Pro, Samsung a9Pro, Samsung s8Plus, na ipi mnanishauri kununua?

kahata

Member
Jan 17, 2021
88
52
Naomba kujuzwa bei za simu zifuatazo madukani: Samsung j7pro, samsung c9pro, samsung a9pro, samsung s8plus.
 
Mbona simu za zamani sana hizo, huwezi pata mpya Bali ni refurb na used, mwisho wa siku utauziwa vimeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom