Naomba kujuzwa bei za cofia za mabati ya rangi migongo ya kawaida( sio msaiz)

Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,467
3,228
Habari za jioni wanaFJ
Naombeni kwa ajuaye anijuze bei za kofia za mabati ya rangi migongo ya kawaida( sio msauz), zinauzwa bei gani na zinauzwa moja moja au kwa bando kama mabati yenyewe?
natanguliza shukrani kwa kunijuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom