Naomba kujuzwa bei ya Toyota OPA na uimara wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa bei ya Toyota OPA na uimara wake!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BAOSITA, Feb 26, 2012.

 1. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu,kama kichwa hapo juu kinavyosema,nahitaji kununua gari hivi karibuni na nimevutiwa sana na OPA.Ningependa kujua bei yake na uimara wake kwa sasa hapa mjini Dar ili nisije ingia mkenge bure wakuu!
  Natanguliza shukrani
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau wenye kuzijua Opa hampo?
   
 3. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Watakuja tu, vuta subira.
   
 4. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  iko poa kwa uimara na bei 12m kila k2 hapa lete kazi
   
 5. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo bei,mh,ngoja niende mtaani mwenyewe!
   
 6. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Kuwa makini
   
 7. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nitazingatia mkuu!
   
 8. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Mimi nina marafiki wawili wana-complain sana kuhusu Opa zao zinawatesa kwenye maintanance na mmoja ameshaiuza,sasa its up to you kama unafuata good consumption yake just buy it.
   
 9. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ahsante mkuu kwa ushauri wako,ila ingekuwa vizuri kama ungeelezea kidogo maintanance gani mfano...
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kwa nini usinunue land lover 109, ni imara sana ile gari mkuu BAO SITA
   
 11. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Yule wa kwanza alikuwa analalamikia Engine inapoteza silence (inashuka),wa pili yeye ilikuwa inamzikia njiani mara kwa mara na tatizo halikupata ufumbuzi,mbaya zaidi aliyeuziwa naye sasa hivi anacomplain kauziwa kimeo.:A S embarassed:
   
 12. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wao walizinunua mpya kabisa?
   
 13. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una utani wewe!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  navockia ipo chini xana,nje ya barabara za Lami itasumbua,ila ndani MASHALLAH nzuri!
   
 15. A

  ASHA NGEDELE JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 574
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Cheki PM
   
 16. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 425
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Opa ni nzuri sana na imara kaka.....ndani ina bonge la space..unaweza kufanya hata birthday.....mimi nina opa sasa mwaka wa nne.....na sijawai kufanya major maintenance zaidi ya service za kawaida za kumwaga oil kila baada ya 3000km.mimi nilinunua mwaka 2009 kwa $3300 CIF kutoka japan.sijui siku hizi bei ikoje? spare zake zinaingiliana na RAV 4.
   
Loading...