Naomba kujuzwa bei ya taa za nyuma ya TV 'Backlight'

Mr Gerome

JF-Expert Member
Dec 6, 2019
327
290
Habari za saa hizi wakuu. Naomba kujua Bei ya taa za nyuma ya tv "backlight"wanauzaje dukani? Aina ya TV ni Zec nch 32

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu hizo zonategeme na Tv yenyewe ila syo chini ya 180000
Kama upo
Tayari nipange nitakufungia mm ni fund
0714894219
 
Mkuu hizo zonategeme na Tv yenyewe ila syo chini ya 180000
Kama upo
Tayari nipange nitakufungia mm ni fund
0714894219
Mbona mnapiga sana watu bei kubwa ivo, au ndio tupo uchumi wa kati?

Ukiagiza online hizo LED strips ni kama Tsh 50,000 tu. Gharama ya ufundi isizidi Tsh 30,000.

Screenshot_20210108-102329_AliExpress.jpg
 
Ukiweka TV inakuwaje, tujulishane maana naweza ni kafunga hata kwenye star x yangu
 
Back
Top Bottom