Naomba kujuzwa bei ya "baro" za nguo za mtumba

isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
139
30
Habari zenu wadau.
Tafadhari naomba kufahamishwa bei za baro za nguo za mtumba hapa dar es salaam, kwa anaye faham naomba anijuze tafadhari.
 
Nguo za mitumba zina mchanuo mpana kwa mtu anayezijua ziko za aina nyingi unaulia Nguo aina IPI?mfano 1-mashati ,2-bruose 3-suluari za kike / kiume huo ni mfano lakini ziko item zaidi ya mia moja ukitaka kuifanya biashara hii usiingie kichwakichwa
 
Mwaga dondoo mkuu,
labda ukianzia tshirt kali, jeans, raba mabaro yao kiasi gani, na yanapatikana wapi?
Nguo za mitumba zina mchanuo mpana kwa mtu anayezijua ziko za aina nyingi unaulia Nguo aina IPI?mfano 1-mashati ,2-bruose 3-suluari za kike / kiume huo ni mfano lakini ziko item zaidi ya mia moja ukitaka kuifanya biashara hii usiingie kichwakichwa
 
T.shirt za ukweli balo lake yapo yenye uzito Wa 45kg na 100 kg pia pia yapo yanayotofatishwa t.shirt ze collar name yenye roundneck
 
zipo kimadaraja mkuu daraja la 1'2'3 yana kiubora na unauza kutokana na mahali kwa mfano t-shert namba moja inauzwa 15000-20000 ukiikuta kweny namba mbili inauzwa 10000-15000 na hili ni jambo la kuzingatia kabla hujaanza mkuu
 
Bei zikoje kwa kila aina ya balo, zina madaraja pia, 1,2,3?
T.shirt za ukweli balo lake yapo yenye uzito Wa 45kg na 100 kg pia pia yapo yanayotofatishwa t.shirt ze collar name yenye roundneck
 
Daraja la zote zipo kwenye baro moja mchanganyiko au baro moja daraja moja.
zipo kimadaraja mkuu daraja la 1'2'3 yana kiubora na unauza kutokana na mahali kwa mfano t-shert namba moja inauzwa 15000-20000 ukiikuta kweny namba mbili inauzwa 10000-15000 na hili ni jambo la kuzingatia kabla hujaanza mkuu
 
Nguo za mitumba zina mchanuo mpana kwa mtu anayezijua ziko za aina nyingi unaulia Nguo aina IPI?mfano 1-mashati ,2-bruose 3-suluari za kike / kiume huo ni mfano lakini ziko item zaidi ya mia moja ukitaka kuifanya biashara hii usiingie kichwakichwa

Naulizia zaidi zilizo changanywa yaani suruali,mashati,t-shirt nk yenye ubora.
Lakini kama kuna maelezo zaidi nahitaji ili niweze kufanikisha zoezi langu
 
Write your reply...aisee maelezo ni mazur mno,japo ni miaka mingi ishapita lakini nahitaj mawasiliano yako ili unipe ujanja zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom