Naomba kujuzwa bei ya 4d32 au 4d33 engine

mkuu chukua 4D33 ni engine nzuri sana kwa canter kulilo 4D32..
ina vumilia mikiki mikiki pia service yake na spare bei zake ni nzuri. Pia kuifanyia overhaul ni cheap.
Bei na engine nzuri nenda pale sokota kama unaenda temeke kuna mwarabu mmoja anauza engine zimesimama ile mbaya
 
Back
Top Bottom