Naomba kujuzwa App ya kurudisha picha zilizopotea

Nkondo 2

Senior Member
Oct 10, 2016
163
127
Wadau naomba mwenye kufahamu App inayoweza kunirejeshea picha za zamani nilizopoteza kwa simu nilizotumia zamani zikapotea, ila email nayotumia ni ileile kwa simu zote zilizopotea.
 
Back
Top Bottom