Naomba kujuzwa App nzuri ya kudownload mp3 au mp4 katika simu za iphone

Joenh

Member
Oct 6, 2015
42
46
Msaada hapo juu kama mada inavyosema

Natumia audiomark app kupakua mp3 lakini naona baadhi za nyimbo hazipo kabisa . Mwenye kujua app nzuri naomba anisaidie kwa simu za iPhones.

Tuendelee kujilinda na corona.
 
Asante kiongozi
ni nzuri nyimbo yoyote inakupa options unataka kupakua kama video 3gp, au mp4 napia iyo video moja unaeza kupakua kma audio ukitaka audio yake hapo hapo kwaiyo mfano umepata video yoyote ya nyimbo ambayo audio yake kuipata kazi basi iyo app inakuwezesha kupakuakua audio kupitia iyo video ya wimbo husika
 
Tafuta TubeMate kupitia browser, play store haipo. Inafanana na hiyo Vidmate download kulingana na maelezo ya mdau hapo juu
 
Back
Top Bottom