Naomba kujuzwa anayejua British contact Ltd inashughulika na nini.

Mathika

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
279
319
Habari wana jf poleni na majukumu ya kazi napenda kuelewa hilo kampuni linashughulika na bidhaa gani
 
Lengo kamili la hii kampuni sijui ni nn hasa maana unapofika ofisini kwao ukiwa umefika kwa lengo la kupata kazi unapewa mafundisho jinsi ya kuongea na watu tofauti na practice ndo unapewa bidhaa za kwenda kuuza mitaani kwa lengo la kuweza kuonana na watu tofauti na jinsi ya kuwasoma. Hapo ndo unaambiwa unajifunza kuwa manager wa kampuni watakayokupatia kwenda kusimamia,lakini baada ya hapo ukiwa mzoefu nawe unapewa watu wa kuwafundisha ulichofundishwa.......... Baada ya hapo sijui kinachofuata ni nn tena
 
Hawa jamaa wanahusika na biashara za kutembeza bidhaa majumbani na vijana wake wengi ndo wale wanaovaaga kachumbali nikiwa na maana nguo wanazovaa haziendani mfano unakuta kijana kavaa tai jekundu, shati la kijani na suruali ya njano.Kwa kifupi ni kwamba hizo ni kazi za darasa la saba na hata hao darasa la saba sio wote ambao wana moyo wa kufanya hii kazi.
 
Hawa jamaa wanahusika na biashara za kutembeza majumbani na vijana wake wengi ndo wale wanaovaaga kachumbali nikiwa na maana nguo wanazovaa haziendani mfano unakuta kijana kavaa tai jekundu, shati la kijani na suruali ya njano.Kwa kifupi ni kwamba hizo ni kazi za darasa la saba na hata hao darasa la saba sio wote ambao wana moyo wa kufanya hii kazi.

Asanteni sana maana wanahitaji vijana wa kazi, mmenifungua ufahamu sasa
 
Back
Top Bottom