Naomba kujuzwa aina ya maswali yananayoulizwa kwenye Usaili wa nafasi ya Supplies Officer

Abby91

Member
Oct 10, 2017
64
9
Habari zenu wapendwa, nimeitwa kwenye interview ya Supplies Officer GPSA sasa naomben msaada sababu sijawah kuhudhuria kwenye interview ya Supplies officer, je ni maswali gani wanayouliza.?
 
soma job description then dig deep katika kila content iliyoorodheshwa. lakini base ktk mambo ya stores na warehousing pia pitia Act kidogo
 
Kwa hiyo unataka tukufanyie usaili? Ukifaulu tutakuajiri humu JF au? Okay, swali la kwanza; Jf ilianzishwa na nani na Mwaka Gani?
 
Habari zenu wapendwa, nimeitwa kwenye interview ya Supplies Officer GPSA sasa naomben msaada sababu sijawah kuhudhuria kwenye interview ya Supplies officer, je ni maswali gani wanayouliza.?
Mkuu mimi naogopa kukupa hints humu maana najua nikitoa maswali 10 lazima kesho upate 3 au 4 kati ya yote utakayoulizwa. Naaminisha yale maswali yenyewe ya kishuleshule. Ili kuepuka usumbufu wa baadaye naomba tu niseme haya.
1. Kwanza utaulizwa kama umewahi kutumia inventory control system yoyote mfn. SAP, SUNSYSTEM, SUNFLOW, NAVITION etc.
2. Security and safety issues in the store and stock yards.
3. Documents used in receipt of goods/ issuing procedures
4. Def of stock taking and its importance
5. Importance of inspection.
Mkuu mpaka hapo kuna maswali mawili ila pia pitia calculaton ya EOQ,

Bila kusahau JD yako na Academic background yako na experience yako , hizo ni marks za bure kabisa mkuu
 
Screenshot_2017-11-16-09-46-51.png
 
Back
Top Bottom