uende umetuma maombi mkuuWap apo n Si twende
Asante sanasoma job description then dig deep katika kila content iliyoorodheshwa. lakini base ktk mambo ya stores na warehousing pia pitia Act kidogo
karibuAsante sana
Mkuu mimi naogopa kukupa hints humu maana najua nikitoa maswali 10 lazima kesho upate 3 au 4 kati ya yote utakayoulizwa. Naaminisha yale maswali yenyewe ya kishuleshule. Ili kuepuka usumbufu wa baadaye naomba tu niseme haya.Habari zenu wapendwa, nimeitwa kwenye interview ya Supplies Officer GPSA sasa naomben msaada sababu sijawah kuhudhuria kwenye interview ya Supplies officer, je ni maswali gani wanayouliza.?
Ni writtenKwann unataka tukuajiri??