Naomba kujuzwa ada ya Msolwa Sekondari (St. Gaspare Bertoni)

cheetah255

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
1,373
2,385
Wakuu habari za muda huu,

Naomba kujuzwa ada kwa wanafunzi wa O Level especially form one ni kiasi gani kwa sasa. Shule inaitwa Msolwa Secondary ipo Kilombero Morogoro.

Kwa anayejua tafadhali anieleze na utaratibu wa kupata form.
 
Wakuu habari za muda huu.
Naomba kujuzwa ada kwa wanafunzi wa o level especially form one ni kiasi gani kwa sasa.Shule inaitwa msolwa secondary ipo kilombero morogoro.
Kwa anayejua tafhadhali anieleze na utaratibu wa kupata form.
Mikumi-Kilosa
 
Back
Top Bottom