Naomba kujulishwa

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,057
860
Jamani hivi huu utitiri wa college hapa dar es salaam kama western n distance learn college m2 akimaliza diploma kuna uwezekano wa kuapply degree katka university,na vinausajili vingine kweli maana ckuh izi kuna college nyingi kweli.naomba nijulishwe tusije soma halafu unashindwa kusoma elimu ya juu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom