Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,775
- 18,733
Gharama ni jumla na material? (Bati, misumari, mbao n.k)Kumbe hakuna tofauti na Mjini. Nimeazeka Bati 300+ kwa 1.7M
Kama sio hebu jumlisha na material
Gharama ni jumla na material? (Bati, misumari, mbao n.k)Kumbe hakuna tofauti na Mjini. Nimeazeka Bati 300+ kwa 1.7M
Hii, gharama ya fundi tu.Gharama ni jumla na material? (Bati, misumari, mbao n.k)
Kama sio hebu jumlisha na material
Kama nyumba yako chini ya vyumba 3 adi 4 piga simu 0683715151 ukiwa na laki 9 tufanyeNaomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
Kwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUPNaomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
Nakuunga mkono, wakati meingine unataja kwa kutega,Tafuta fundi kadhaa uelewane nao
Nimependa mchanganuo wako mkuu. Itabidi nikuletee vipimo vya nyumba yangu unikadirieKwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUP
Pokea makadirio na makisio ya upauaji wa nyumba yenye
Vipimo vya nyumba kama ifuatavyo
Urefu-12m
Upana-11m
Kona -6
Mapaa-6
Ripoti yake hii hapa.
1-Bati -95x25,000=2,375,000
2-Mbao 2x4=125x6,000=750,000
3-Mbao 2x2=110x3,000=330,000
4-Misumari 3"=1.5x3,000=4,500
5-Misumsri bati-25x10,000=250,000
6-Fisher board 1x10 -14x16,000=224,000
7-Binding waya -15x3,000=45,000
8-Misumari 4"=45=140,000
Jumla=4,118,500
9-Ufundi=950,000
JUMLA KUU=5,068,500
Wasaliana nasi Uvimo
0629361896
0753927572 - What's AppView attachment 2000846View attachment 2000847
Instagram unatumia jina gani?Kwa niaba ya timu nzima ya UVIMO CIVIL SOCIAL GROUP
Pokea makadirio na makisio ya upauaji wa nyumba yenye
Vipimo vya nyumba kama ifuatavyo
Urefu-12m
Upana-11m
Kona -6
Mapaa-6
Ripoti yake hii hapa.
1-Bati -95x25,000=2,375,000
2-Mbao 2x4=125x6,000=750,000
3-Mbao 2x2=110x3,000=330,000
4-Misumari 3"=1.5x3,000=4,500
5-Misumsri bati-25x10,000=250,000
6-Fisher board 1x10 -14x16,000=224,000
7-Binding waya -15x3,000=45,000
8-Misumari 4"=45=140,000
Jumla=4,118,500
9-Ufundi=950,000
JUMLA KUU=5,068,500
Wasaliana nasi Uvimo
0629361896
0753927572 - What's AppView attachment 2000846View attachment 2000847
Asante MkuuAnaitwa imma 0717822402 anajitangaza sana fb,ujenzi zone..'fascia board' anaweka ngazi tatu, kuhusu slope atakushauri kutokana na aina ya jengo