Duh! Unawafahamu.mpaka chiduo mh!waziri kipindi hicho?Shabiby, rose muhando, Dr. Aaron Chiduo, watafute gairo huko ndugu zake na profesa palamagamba kabudi aliwataja nimewasahau...
Duh! Unawafahamu.mpaka chiduo mh!waziri kipindi hicho?Shabiby, rose muhando, Dr. Aaron Chiduo, watafute gairo huko ndugu zake na profesa palamagamba kabudi aliwataja nimewasahau...
Hili suala la mota nimelipenda. Nililala Gairo siku moja sikuonja. Kumbe nilikosea sana.Hiyo ni lazima. Kingine wamefungwa mota kiunoni
Kipendacho roho ula chama mbichiMimi ni Mtanzania chotara wa Kinyakyusa na Kisukuma ila nimetokea kumpenda binti wa Kikaguru na ningependa kujua kwa ndani mila, tamaduni na desturi zao ikiwemo namna wananvyo mama mjamzito, mama mzazi na malezi ya watoto, nafasi ya mqanaume katika jamii, mapishi na vyakula, shughuli zao za uchumi, matambiko, mazishi, ndoa na mahari nk
Asanteni sana wadau.
Kabila halijawahi isemea nafsi ya mtu. Usimchunguze sana bata, hutomla wewe furahia utamu wa nyama yake then over.
Hawana tofauti na wagogo na lugha zao zinaendana sana, wapo mpwapwa, kongwa, mlali. Supika jobu ni mkagulu
Kabila gani sio Malaya?Kipendacho roho ula chama mbichi
Mkuu wakaguru Ni wazuri Sana kwa sura na ata rangi zao
Kasoro yao moja Ni Malaya mno
Ni maji mara moja,hawajui kusema No
Utatafuniwa Sana aisee
Huwa hawadumu kwenye ndoa Hawa aisee ,na utakuta wamezalishwa nyumbani wengine
Nimekutana nao Sana kilosa,gairo,mpwampwa,kongwa,kipindi mpakani na gairo na handeni
I konow them
Hitimisho
Ukitaka kumla Bata usimchunguze hakika ukitumia msemo huu utafanikiwa kuoa huyo binti wa kikaguru
Kabila gani sio Malaya?