Naomba kujulishwa mila, tamaduni na desturi za Wakaguru

mwayena

JF-Expert Member
Apr 21, 2016
2,920
2,000
Kati ya makabila ambayo yanapoteza muda kwenye salam ni hawa.mkikutana utasikia mgona hani....digoya,nyenye...chigona viswanu...eh!eh.hizo eh eh ndo nusu saa itapita.ukiwa umeongozana nae akikutana na mkaguru mwenzie na hawajaonana kitambo,we endelea tu na safari.
 

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,331
2,000
Mimi ni Mtanzania chotara wa Kinyakyusa na Kisukuma ila nimetokea kumpenda binti wa Kikaguru na ningependa kujua kwa ndani mila, tamaduni na desturi zao ikiwemo namna wananvyo mama mjamzito, mama mzazi na malezi ya watoto, nafasi ya mqanaume katika jamii, mapishi na vyakula, shughuli zao za uchumi, matambiko, mazishi, ndoa na mahari nk
Asanteni sana wadau.
Kipendacho roho ula chama mbichi
Mkuu wakaguru Ni wazuri Sana kwa sura na ata rangi zao
Kasoro yao moja Ni Malaya mno
Ni maji mara moja,hawajui kusema No
Utatafuniwa Sana aisee
Huwa hawadumu kwenye ndoa Hawa aisee ,na utakuta wamezalishwa nyumbani wengine

Nimekutana nao Sana kilosa,gairo,mpwampwa,kongwa,kipindi mpakani na gairo na handeni
I konow them

Hitimisho
Ukitaka kumla Bata usimchunguze hakika ukitumia msemo huu utafanikiwa kuoa huyo binti wa kikaguru
 

kilicho

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
1,087
2,000
Mkuu nilikuwa huko juzi,na mimi nimeoa mkagulu mkuu,kiujumla niwatu wenye heshima kwa wakwe zao pia hawana makuu
 

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
2,558
2,000
Kipendacho roho ula chama mbichi
Mkuu wakaguru Ni wazuri Sana kwa sura na ata rangi zao
Kasoro yao moja Ni Malaya mno
Ni maji mara moja,hawajui kusema No
Utatafuniwa Sana aisee
Huwa hawadumu kwenye ndoa Hawa aisee ,na utakuta wamezalishwa nyumbani wengine

Nimekutana nao Sana kilosa,gairo,mpwampwa,kongwa,kipindi mpakani na gairo na handeni
I konow them

Hitimisho
Ukitaka kumla Bata usimchunguze hakika ukitumia msemo huu utafanikiwa kuoa huyo binti wa kikaguru
Kabila gani sio Malaya?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom