Naomba kujulishwa kuhusu shindano la mwanaharakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujulishwa kuhusu shindano la mwanaharakati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, May 22, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndugu wadau,

  Ninaomba kueleweshwa na yeyote anayefahamu kuhusu shindano la kuandika hotuba linalojulikana kama shindano la mwanaharakati, nimelisikis juu juu kupitia channel 5 nimeshindwa kupata undani wake.
   
Loading...